Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya Habari:Serikali yawahakikishia watu kwamba Sensa itakuwa salama
Taarifa ya Habari:Serikali yawahakikishia watu kwamba Sensa itakuwa salama

Serikali inawahakikishia watu kwamba Sensa itakuwa salama, kufuatia visa vya hivi karibuni vya roboti za AI kufanya ujambazi na uvunjaji wa data kati…

2 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika:Wanariadha wa Uganda watoweka Scotland
Yaliyojiri Afrika:Wanariadha wa Uganda watoweka Scotland

Mabondia wanne wa timu ya Uganda, wametoweka baada yakufeli kujitokeza kwa safari zao za ndege zakurejea nyumbani, baada ya kushiriki katika michezo …

2 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Makala Leo: Watetezi wa ulemavu waomba mlinzi nakuonya kuhusu 'athari kubwa' mageuzi yanapokaribia
Makala Leo: Watetezi wa ulemavu waomba mlinzi nakuonya kuhusu 'athari kubwa' mageuzi yanapokaribia

Watetezi wa ulemavu wanaihimiza serikali kufikiria upya mabadiliko ya Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu unao julikana kama NDIS, kabla ya kura ya …

2 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Wafanya biashara waomba ushirikiano na serikali kabla ifanye mabadiliko katika uhamiaji
Taarifa ya Habari:Wafanya biashara waomba ushirikiano na serikali kabla ifanye mabadiliko katika uhamiaji

Vikundi vya wafanyabiashara vinaihimiza serikali ya shirikisho kushirikiana nao, katika mashauriano kabla ya mabadiliko yoyote makubwa kutangazwa kuh…

2 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Ofisi ya takwimu ya Australia yahimiza wanao ishi katika nyumba zenye watu wengi wasiwe na hofu kushiriki katika sensa
Taarifa ya Habari:Ofisi ya takwimu ya Australia yahimiza wanao ishi katika nyumba zenye watu wengi wasiwe na hofu kushiriki katika sensa

Usiku wa sensa ukikaribia, maafisa wa Ofisi ya Takwimu ya Australia wanawahimiza watu wanao ishi katika makaazi yenye watu wengi sana, wasiwe na hofu…

2 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
What are my rights if stopped by police in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Haki zangu ni zipi kama nitasimamishwa na polisi nchini Australia?
What are my rights if stopped by police in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Haki zangu ni zipi kama nitasimamishwa na polisi nchini Australia?

Police officers have a range of operational powers they can exercise under legislation, including to ask questions, give ‘move on’ directions and con…

2 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
SBS Learn Eng Ep 116 Jinsi yakuzungumza kuhusu kumtembelea daktari wa wanyama
SBS Learn Eng Ep 116 Jinsi yakuzungumza kuhusu kumtembelea daktari wa wanyama

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kumtembelea daktari wa wanyama?

2 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Mfanyabiashara afariki mjini Melbourne baada ya tukio linalo shukiwa kutekelezwa na wezi
Taarifa ya Habari:Mfanyabiashara afariki mjini Melbourne baada ya tukio linalo shukiwa kutekelezwa na wezi

Mfanyabiashara mmoja wa duka mjini Melbourne amefariki baada ya kushambuliwa alipokuwa akijaribu kuzuia kundi la vijana walio kuwa waki iba dukani.

2 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika: DRC yaadhimisha GENOCOST
Yaliyojiri Afrika: DRC yaadhimisha GENOCOST

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, ameongoza kumbukumbuku ya mauaji ya GENOCOST jijini Kinshasa, inayofanyika kila tarehe 2 m…

2 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Mamia ya watu wakimbia mapigano Tigray na kuingia Sudan
Taarifa ya Habari:Mamia ya watu wakimbia mapigano Tigray na kuingia Sudan

Mamia yawa Ethiopia kutoka eneo la kaskazini mwa Tigray, wamevuka mpaka na kuingia nchi jirani ya Sudan katika siku mbili zilizopita, wakikimbia mapi…

2 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us