Episode Details
Back to Episodes
Yaliyojiri Afrika: Idadi ya watu wanaoshukiwa kuambukizwa Ebola nchini DRC yafika 900
Published 1 month, 2 weeks ago
Description
Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema zaidi ya watu 900 wanashukiwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.