Podcast Episodes
Back to Search
Makala Leo:Kwa nini baraza lamawaziri wakitaifa haliku gusa vituo vya mbadala vya data
Mkutano wa viongozi wa shirikisho, majimbo na wilaya ulimuacha Waziri Mkuu Anthony Albanese akikubali agizo la vituo vya data vinavyoweza kutumika te…
1 month, 2 weeks ago
Makala Leo:Wa Australia 34 miongoni mwa watu ambao wamepotea katika mafuriko Nepal
Takriban watu 160 wameuawa, na mamia wakiwemo watalii na Waaustralia 34 hawajulikani walipo, kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea kwenye mpaka wa Ne…
1 month, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari:Makumi yawa Australia hawajulikani waliko katika mafuriko nchini Nepal
Waziri Mkuu Anthony Albanese amethibitisha kuwa Waaustralia 34, hawajulikani walipo baada ya mafuriko makubwa ya ghafla kwenye mpaka wa Nepal-Tibet.
1 month, 3 weeks ago
Yaliyojiri Afrika:Ujumbe maalum wafuatilia usitishaji mapigano DRC
Ujumbe wa kwanza wa aina yake umetumwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatilia utekelezaji wa usitishaji mapigano kati ya jeshi la…
1 month, 3 weeks ago
Taarifa ya Habari:Hospitali za New South Wales kupewa nafasi zaidi za matibabu
Hospitali za New South Wales zitapata nafasi zaidi za matibabu za muda mfupi ili kupunguza shinikizo kwa idara za dharura.
1 month, 3 weeks ago
Makala Leo: Mrundikano wa visa za wenza unao waacha waaustralia katika sintofahamu
Mchakato mpya wa kipaumbele ambao unaweza fanya baadhi ya raia wa Australia, wasubiri kwa muda mrefu zaidi kwa wenzi wao kupokea visa umesababisha uk…
1 month, 3 weeks ago
Makala Leo:'Usibofye kitu chochote':Jinsi barua pepe moja inavyoweza haribu biashara
Waaustralia wanapoteza mamia ya mamilioni ya dola kutokana na matapeli, huku matapeli wakizidi kutumia akili mnemba kuwadanganya waathiriwa wao.
1 month, 3 weeks ago
Taarifa ya Habari:Ripoti mpya yaitaka Australia iboreshe usalama wa dawa na itoe wakalimani kwa jamii za tamaduni mbalimbali
Ripoti mpya imeangazia changamoto kubwa za usalama wa dawa zinazowakabili Waaustralia wenye tamaduni mbalimbali, na inatoa wito wa upatikanaji mkubwa…
1 month, 3 weeks ago
Yaliyojiri Afrika:7 wafariki katika ajali ya helikopta Kenya
Watu saba, wakiwemo raia watano wa Marekani na mkuu wa ujasusi wa Ecuador, wamefariki baada ya helikopta ya watalii kuanguka karibu na Mlima Ololokwe…
1 month, 3 weeks ago
Makala Leo:Mabadiliko ya NDIS yatakuathiri vipi?
Mamia ya maelfu ya watu watapoteza msaada kutoka NDIS, baada ya mabadiliko yanayolenga kupunguza ukuaji katika mpango huo kupitishwa ndani ya Seneti …
1 month, 3 weeks ago