Podcast Episodes
Back to Search
Makala Leo:Tunachojua kuhusu usalama wakimataifa miaka 25 baada ya tukio la 9/11
Ni miaka 25 tangu karibu watu 3,000 waliuawa katika mashambulizi ya Septemba 11, ambayo yalisababisha Vita dhidi ya Ugaidi vilivyoongozwa na Marekani…
1 month ago
Mumbi afunguka kuhusu mapokezi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia
Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema kushiriki katika tamas…
1 month ago
Taarifa ya Habari:Upinzani wa mseto waomba maelezo zaidi kabla ya kura ya mageuzi ya sheria za mitandao ya kijamii zilizo imarishwa
Makampuni ya mitandao ya kijamii yanaweza kuwapa watumiaji chaguo la kuzima algoriti yao, chini ya rasimu za sheria zilizopangwa kufichuliwa na serik…
1 month, 1 week ago
Yaliyojiri Afrika:Agizo la Rais Ruto lazua hofu miongoni mwa wahamiaji wenye asili ya Burundi
Nchini Kenya, ukosoaji umekuwa ukiongezeka tangu tangazo la Rais William Ruto Jumatano iliyopita. Alisema kwamba biashara ndogo ndogo zinazoendeshwa …
1 month, 1 week ago
Makala Leo: Unachohitaji kujua kuhusu magonjwa ya msimu huu wa masika
Australia inapo ingia katika majira ya kuchipua, wataalamu wanawasihi watu wasiache kujilinda dhidi ya magonjwa ya msimu.
1 month, 1 week ago
Taarifa ya Habari:Sera ya malipo ya uzeeni ya One Nation yakosolewa vikali
Chama cha One Nation kina kana kwamba sera yake mpya ya malipo ya uzeeni itasababisha uondoaji mkubwa wa malipo ya uzeeni, au kuongezeka kwa mfumuko …
1 month, 1 week ago
Mumbi afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia
Wanachama wa Jumuiya za Afrika wanao ishi jijini Sydney, New South Wales wana jiandaa kuhudhuria tamasha maalum.
1 month, 2 weeks ago
Makala Leo: Dunia yamkumbuka gwiji wa muziki Dolly Parton
Gwiji wa muziki wa Country, Dolly Parton, amefariki akiwa na umri wa miaka 80.
1 month, 2 weeks ago
Yaliyojiri Afrika: CCM yamtimua Dkt Emmanuel Nchimbi
Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM umemvua uanachama Emmanuel Nchimbi na kumpitisha Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kujaza nafasi ya Makamu wa Rais.
1 month, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari:Australia yatoa kifurushi cha usaidizi cha dola milioni 5 kwa jamii zilizoathiriwa nchini Nepal
Serikali ya Australia inaanzisha kifurushi cha usaidizi cha dola milioni 5 kwa jamii zilizoathiriwa nchini Nepal, huku idadi ya Waaustralia waliopote…
1 month, 2 weeks ago