Podcast Episodes

Back to Search
Yaliyojiri Afrika: Duale "serikali haita shauriana na raia kuhusu karantini ya Ebola"
Yaliyojiri Afrika: Duale "serikali haita shauriana na raia kuhusu karantini ya Ebola"

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema serikali yake inafanya jambo sahihi kwa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha karantini ya Ebola nchini humo.

1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Mahakama ya Kenya yasimamisha kujengwa kituo cha karantini cha Ebola
Taarifa ya Habari:Mahakama ya Kenya yasimamisha kujengwa kituo cha karantini cha Ebola

Mahakama Kuu ya Kenya Jumanne ilisimamisha kwa wiki tatu zaidi mpango wa kujenga kituo cha karantini ya Ebola, kilichopendekezwa na Marekani.

1 month ago

Short Long
View Episode
Most Australians see migration as a benefit. Is economic stress changing the story? - Waaustralia wengi huona uhamiaji kama faida. Je! msongo wa mawazo wa kiuchumi una geuza mtazamo?
Most Australians see migration as a benefit. Is economic stress changing the story? - Waaustralia wengi huona uhamiaji kama faida. Je! msongo wa mawazo wa kiuchumi una geuza mtazamo?

Migrants and refugees are often blamed for rising cost of living pressures. Is there a way to break the cycle? - Wahamiaji na wakimbizi mara nyingi h…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
MiniPod: GOAT | Words we use - MiniPod: GOAT | Words we use
MiniPod: GOAT | Words we use - MiniPod: GOAT | Words we use

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
MiniPod: GOAT | Maneno tunayo tumia
MiniPod: GOAT | Maneno tunayo tumia

Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelew…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
Faith"niliona nikama dunia ime isha na, nilihisi kwamba nimejipoteza pia mimi mwenyewe"
Faith"niliona nikama dunia ime isha na, nilihisi kwamba nimejipoteza pia mimi mwenyewe"

Sheila Chebii alikuwa nchini Australia chini ya miezi mbili, alipo aga dunia katika mazingira yakutatanisha.

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Upinzani wa shirikisho wakosoa pendekezo la kumpa mweka hazina mamlaka ya kutoa punguzo la kodi ya faida ya mtaji
Taarifa ya Habari: Upinzani wa shirikisho wakosoa pendekezo la kumpa mweka hazina mamlaka ya kutoa punguzo la kodi ya faida ya mtaji

Upinzani wa Mseto unakosoa muswada wa mageuzi ya kodi wa serikali ya Labour, kwa kumpa mweka hazina mamlaka ya kuamua ni mali gani zinaweza wekewa pu…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
A guide to fuel types in Australia | Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa: Mwongozo kwa aina za petroli nchini Australia | Petroli Yalengwa
A guide to fuel types in Australia | Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa: Mwongozo kwa aina za petroli nchini Australia | Petroli Yalengwa

Drivers across Australia are paying more at the bowser as fuel prices remain unstable. So does it make sense to go for cheaper petrol options when fi…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
Makala leo: Popovic afanya maamuzi magumu akitangaza kikosi cha Kombe la Dunia cha Socceroos
Makala leo: Popovic afanya maamuzi magumu akitangaza kikosi cha Kombe la Dunia cha Socceroos

Leo asubui Mwalimu wa timu ya taifa ya Australia Tony Popovic ametangaza kikosi chake cha wachezaji 26, cha Socceroos watakao cheza katika Kombe la D…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Wagonjwa wa Ebola waanza kupona DR Congo
Taarifa ya Habari: Wagonjwa wa Ebola waanza kupona DR Congo

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kwenye taarifa yake ya Jumapili (Mei 31) kwamba, wagonjwa wengine zaidi wa Ebola wanatazamiwa kupona, hasa…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us