Podcast Episodes
Back to Search
SBS Learn Eng Ep 110 Jinsi yaku tafuta viatu vinavyo kufaa
Je, unajua jinsi yakuomba msaada kwa Kiingereza, kupata viatu vinavyo kufaa.
1 month, 2 weeks ago
Makala leo: Joto kali lawakaribisha mahujaji Macca kwa Hijja ya mwaka huu
Ma milioni wame jumuika mjini Mecca Saudi Arabia, kwa hija ya mwaka huu.
1 month, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari: Kasi yaongezwa kuajiri wauguzi waku kabiliana na mlipuko wa Diphtheria
Mipango inafanywa kupeleka wauguzi zaidi katika Wilaya ya Kaskazini kujibu mlipuko mbaya zaidi wa diphtheria nchini kwa zaidi ya miaka 30.
Kesi 230 za…
1 month, 2 weeks ago
Makala Leo: WHO yatangaza dharura ya afya duniani baada ya mlipuko wa Ebola DR Congo na Uganda
Shirika la Afya Duniani limetangaza mlipuko wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda ni dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi k…
1 month, 2 weeks ago
SBS Learn Eng Ep111 Jinsi yakupata huduma bomba zako nyumbani zikiwa na tatizo
Je, unajua jinsi yakuomba msaada kwa Kiingereza bomba zako nyumbani zikipata tatizo?
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Bonyeza hapo juu kwa maf…
1 month, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho ya tetea jibu lake kwa mlipuko wa Diphtheria
Waziri wa Afya Mark Butler ametetea utoaji wa kifurushi cha dola milioni 7 kutoka kwa serikali kusaidia kujibu mlipuko wa ugonjwa wa diphtheria ambay…
1 month, 2 weeks ago
What can be done to stop price gouging during the fuel crisis? - SBS Examines:Nini inaweza fanywa kusimamisha kupandisha bei ya mafuta kwa njia ya unyonyaji?
Fuel prices have spiked, and so have concerns and complaints about alleged price gouging. Are retailers cashing in on the crisis? - Bei za mafuta zim…
1 month, 2 weeks ago
Anne "kina mama wanawezaje sawazisha kuhudumia naku imarisha mali ya familia zao"
Kuto simamia mali vizuri, kunaweza weka mahusiano na familia nyingi katika hali mbaya.
Anne Mureithi hutoa mafunzo kwa familia na jinsi yaku kuza mali…
1 month, 2 weeks ago
SBS Examines:Nini inaweza fanywa kusimamisha kupandisha bei ya mafuta kwa njia ya unyonyaji?
Serikali ya Australia imeanzisha hatua kadhaa za kusaidia kupunguza shinikizo la usambazaji wa mafuta linalo endelea.
Hatua hizo zinajumuisha kupunguz…
1 month, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari: Chama cha Liberal hakifai fuata mwongozo wa chama cha One Nation Andrew McLachlan asema
Mbunge wa chama cha Liberal Andrew McLachlan anasema Upinzani wa Mseto haufai kutafuta mwongozo kutoka kwa chama cha One Nation kuhusu maendeleo ya s…
1 month, 3 weeks ago