Podcast Episodes

Back to Search
Australia Yafafanuliwa:Je ukotayari kwa msimu wa mafua nchini Australia?
Australia Yafafanuliwa:Je ukotayari kwa msimu wa mafua nchini Australia?

Kirusi cha Influenza ni aina ya mafua yanayo ambukizwa kwa urahisi mkubwa na huzunguka mwaka mzima, lakini shughuli za mafua huongezeka wakati wa vul…

1 month, 4 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Ugavi wa nyumba utakuwa muhimu katika bajeti ya shirikisho ya kesho serikali ya sema
Taarifa ya Habari: Ugavi wa nyumba utakuwa muhimu katika bajeti ya shirikisho ya kesho serikali ya sema

Waziri wa Makazi Clare O'Neil, anasema bajeti ya shirikisho itasaidia sana kushughulikia upungufu wa usambazaji wa makazi.

1 month, 4 weeks ago

Short Long
View Episode
Anne "karibuni tusherehekee utu wa mwanamke, uvumilivu na neema"
Anne "karibuni tusherehekee utu wa mwanamke, uvumilivu na neema"

Wanawake wanao ishi katika maeneo ya jiji la Melbourne wame andaliwa tukio maalum Jumapili 10 May, ambayo huadhimishwa kama siku ya kina mama.

2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Wanawake watatu wenye uhusiano na kundi la ISIS kufikishwa mahakamani
Taarifa ya Habari:Wanawake watatu wenye uhusiano na kundi la ISIS kufikishwa mahakamani

Wanawake watatu wa Australia wenye uhusiano na kundi linalojiita Dola la Kiislamu (ISIS) wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa makosa ya utumwa, uha…

2 months ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika:Rais Tshisekedi adokeza uwezekano wa kuwania muhula wa tatu
Yaliyojiri Afrika:Rais Tshisekedi adokeza uwezekano wa kuwania muhula wa tatu

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amedokeza juu ya uwezekano wa kuwania muhula wa tatu, na kuchelewesha uchaguzi mkuu unaotar…

2 months ago

Short Long
View Episode
Makala leo:Akiba dhidi ya matumizi: Chalmers anasema bajeti ijayo ni 'yenye uwajibikaji zaidi'
Makala leo:Akiba dhidi ya matumizi: Chalmers anasema bajeti ijayo ni 'yenye uwajibikaji zaidi'

Mweka Hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ameahidi kutoa bajeti inayowajibika zaidi, lakini akiba inayotarajiwa katika kila wizara.

2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Serikali yakana shutuma kwamba inawalenga wawekezaji wa "mama na baba" katika bajeti mpya
Taarifa ya Habari: Serikali yakana shutuma kwamba inawalenga wawekezaji wa "mama na baba" katika bajeti mpya

Jim Chalmers amepuuza mapendekezo kwamba mabadiliko yanayowezekana kwa matumizi hasi ya vifaa au kodi ya faida ya mtaji yatakuwa ni kuvunja ahadi na …

2 months ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika: Viongozi wa Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa kikanda
Yaliyojiri Afrika: Viongozi wa Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa kikanda

Viongozi wa Tanzania na Rwanda wamekubaliana kuchukua jukumu la kuhakikisha ushirikiano ndani ya Jumuiya ya afrika mashariki unaimarika kwa ajili ya …

2 months ago

Short Long
View Episode
Makala leo: Jinsi uchaguzi mdogo wa vijijini unavyoweza ashiria matatizo kwa upinzani wa Australia
Makala leo: Jinsi uchaguzi mdogo wa vijijini unavyoweza ashiria matatizo kwa upinzani wa Australia

Uchaguzi mdogo ujao wa Mei 9 katika eneo bunge la Farrer jimboni New South Wales, unaweza kuwa na athari kubwa kwa siasa za kitaifa.

2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Akiba itazidi matumizi na kodi katika bajeti ijayo Mweka Hazina aeleza taifa
Taarifa ya Habari: Akiba itazidi matumizi na kodi katika bajeti ijayo Mweka Hazina aeleza taifa

Mweka Hazina Jim Chalmers amesema bajeti ya shirikisho ya wiki ijayo itakuwa na kikomo chake kikubwa zaidi, wakati akiba ikitarajiwa kuzidi mabadilik…

2 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us