Episode Details
Back to Episodes
Taarifa ya Habari:Wanawake watatu wenye uhusiano na kundi la ISIS kufikishwa mahakamani
Published 2 months ago
Description
Wanawake watatu wa Australia wenye uhusiano na kundi linalojiita Dola la Kiislamu (ISIS) wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa makosa ya utumwa, uhalifu dhidi ya binadamu, na mashtaka ya ugaidi, baada ya kurejea nyumbani kutoka miaka kadhaa ya kuzuiliwa katika kambi ya wakimbizi nchini Syria.