Episode Details
Back to Episodes
Yaliyojiri Afrika: Viongozi wa Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa kikanda
Published 2 months ago
Description
Viongozi wa Tanzania na Rwanda wamekubaliana kuchukua jukumu la kuhakikisha ushirikiano ndani ya Jumuiya ya afrika mashariki unaimarika kwa ajili ya manufaa ya kanda hiyo na watu wake.