Podcast Episodes
Back to SearchVikao vya Bunge ya Shirikisho vya anza tena baada ya mapumziko ya majira ya baridi
Vikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Mor…
2 years, 11 months ago
Taarifa ya Habari 30 Julai 2023
Muswada wa nyongeza ya malipo ya Jobseeker, unatarajiwa kuwasilishwa bungeni vikao vitakapo anza tena kesho Jumatatu 31 Julai 2023.
2 years, 11 months ago
Taarifa ya Habari 28 Julai 2023
Serikali ya shirikisho imetangaza ita wasilisha tena muswada wayo mhimu wa nyumba, vikao vya bunge vitakapo anza tena kutoka likizo yake ya majira ya…
2 years, 11 months ago
Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania wazua upinzani mkali
Bunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.
2 years, 11 months ago
Taarifa ya Habari 25 Julai 2023
Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maene…
2 years, 11 months ago
Gov Khalif "asilimia 60 ya Mandera iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab"
Gavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.
2 years, 11 months ago
Taarifa ya Habari 23 Julai 2023
Mfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.
2 years, 11 months ago
Taarifa ya Habari 22 Julai 2023
Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa ime…
2 years, 11 months ago
Germain "nataka leta aina mpya ya siasa DRC"
Kampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
2 years, 11 months ago
Taarifa ya Habari 18 Julai 2023
Serikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathin…
2 years, 11 months ago