Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 18 Julai 2023
Published 2 years, 11 months ago
Description
Serikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika maeneo ambayo hayana vyuo na, ambako asilimia ya umma yenye elimu ya juu ziko chini.