Podcast Episodes

Back to Search
Historia ya tengezwa katika fainali ya kombe la dunia mjini Sydney

Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Au…

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Austral…

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Richard Tuta "Nchi inapokumbwa na migogoro, maendeleo husahaulika"

Nchi nyingi barani Afrika zina endelea kukabiliana na changamoto za migogoro na uhaba wa maendeleo kila uchao.

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Kudhibiti ugonjwa wa vituo vya malezi ya watoto: Vidokezo kwa wahamiaji wapya na wazazi wa mara ya kwanza

Kuanza kupeleka mtoto katika huduma ya malezi ya watoto mapema, inaweza kuwa suluhisho la vitendo kwa kusawazisha matarajio ya kazi na wajibu wa uzaz…

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema sifa ya Australia duniani, ime imarika serikali inapo wekeza katika ulinzi pamoja na mahusiano yakimkakati.

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Mchakato wa urithi ni upi nchini Australia

Tofauti na nchi zingine, wa Australia huwa hawalipi kodi ya urithi kwa mali wanazo rithi.

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Styve Derrick "tuna fursa za kazi ila tunakosa wafanyakazi Sweden"

Makampuni na biashara nyingi duniani zina, endelea kukabiliana na changamoto yakuwapata wafanyakazi.

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Justin "Covid ilisaidia watu wengi kujitambulisha katika jamii yawakenya Victoria"

Ni kawaida kwa wahamiaji na watu walio wasili Australia kama wakimbizi, kujiunga na vikundi vya jumuiya za asili yao.

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 15 Agosti 2023

Takwimu mpya kutoka ofisi ya takwimu ya Australia, inaonesha kuwa mishahara imeongezeka sambamba na mfumuko wa bei katika robo ya Juni.

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode
Ndahiro "kama haumudu sarafu yako hauna uhuru"

Mapinduzi ya kijeshi nchini Niger yamezua hali ya wasiwasi, miongoni mwa nchi jirani katika eneo la Sahel.

2 years, 10 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us