Episode Details
Back to EpisodesHistoria ya tengezwa katika fainali ya kombe la dunia mjini Sydney
Published 2 years, 10 months ago
Description
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Australia.