Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 22 Oktoba 2023
Published 2 years, 10 months ago
Description
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Australia wa kwanza nakuanzisha tume ya ushauri katika katiba.