Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 5 Septemba 2023
Serikali imesema haita piga hatua nyuma kwa pendekezo la sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, licha ya matokeo mapya ya kura ya maoni ambayo yanao…
2 years, 10 months ago
Wimbo maarufu wa John Farnham watumiwa katika kampeni ya kura ya Ndio
Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni nd…
2 years, 10 months ago
Taarifa ya Habari 4 Septemba 2023
Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amekosoa msimamo wa kiongozi wa upinzani Peter Dutton kwa Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.
2 years, 10 months ago
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2023
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema uamuzi wa serikali ya Labor kukataa ombi la shirika la ndege la Qatar, kuongeza huduma zaidi nchini Austral…
2 years, 10 months ago
Delphine "Jamii imepokea kazi zetu vizuri ila, tunahitaji waje tushirikiane nao zaidi"
Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika viwanja kwa Sydney Olympic Park kwa tamasha ya Africultures 2 Septemba 2023.
2 years, 10 months ago
Brian "Kita eleweka 16 Septemba ndani ya Melbourne Pavilion"
Brian 'Swagga Boy' Agina ni bondia mwenye asili ya Kenya anaye ishi jimboni Victoria, Australia.
2 years, 10 months ago
Kuku ashawishi ushindi katika tamasha ya Tamaduni Day
Wanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.
2 years, 10 months ago
Taarifa ya Habari 29 Agosti 2023
Waziri Mkuu Anthony Albanese, ajiaandaa kutangaza tarehe ya kura ya moani kwa Sauti yawa Australia wa Kwanza bungeni.
2 years, 10 months ago
Jinsi yaku saidia wanyamapori walio jeruhiwa nchini Australia
Australia ni nyumbani kwa baadhi ya wanyamapori wa aina mbalimbali na wanaovutia duniani, matokeo ya kutengwa kwa Australia kama bara na historia yak…
2 years, 10 months ago
Marekani yaweka vikwazo dhidi ya wanajeshi na wanamgambo wa DRC na Rwanda
Wanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.
2 years, 10 months ago