Podcast Episodes

Back to Search
Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao

Ni nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.

2 years, 8 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 13 Oktoba 2023

Jumuiya zawayahudi nawa palestina wa Australia, zaendelea kuhofia usalama wa jamaa wao ambao wame kwama katika vita.

2 years, 8 months ago

Short Long
View Episode
Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura

Maafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bun…

2 years, 8 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 10 Oktoba 2023

Maandamano yakupinga Israel yameshuhudiwa mjini Sydney wakati wa makabiliano kati ya jeshi la Israel na Hamas yakiendelea, wakati huo huo mjini Perth…

2 years, 9 months ago

Short Long
View Episode
Kelvin Kiptum atikisa dunia

Mwanariadha Kelvin Kiptum Cheruiyot amejitengea nafasi yake katika vitabu vya historia kwa kushinda mbio za marathon mjini Chicago kwa muda wa masaa …

2 years, 9 months ago

Short Long
View Episode
Ongezeko la ugonjwa wa kisukari: Uchunguzi waangazia mwenendo wakutisha wa afya

Serikali kwa sasa inazingatia mawasilisho kwa uchunguzi wa shirikisho, kuhusu ugonjwa wa kisukari, hali ambayo inazidi kuongezeka kote nchini Austral…

2 years, 9 months ago

Short Long
View Episode
Geofrey "mengi yaliyo jadiliwa katika mkutano huu yametufungua mawazo sana sisi wanafunzi"

Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walikuwa na mkutano ulio toa fursa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kuzungumza nama wakala wa uhamiaji p…

2 years, 9 months ago

Short Long
View Episode
Irene "kila mtu alirudi nyumbani akijua fasi gani katika familia anastahili tengeneza vizuri"

Kwa mara nyingine kongamano la wanawake wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi jimboni NSW, lili ongeza idadi ya walio lihudhuria katika kitongoji cha Wol…

2 years, 9 months ago

Short Long
View Episode
Bobi Wine awekwa katika kizuizi cha nyumbani muda mfupi baada yakuwasili Uganda

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amesema siku ya Alhamisi amewekwa katika kizuizi cha nyumbani, baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama…

2 years, 9 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 6 Oktoba 2023

Wataalam wamesema Australia inahitaji makumi yama elfu ya nyumba za ziada zakukodi, wakati viwango vya nyumba zakukodi vinarejea katika viwango vya c…

2 years, 9 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us