Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 7 Novemba 2023
Serikali ya Albanese inasema mahusiano na China, yako katika sehemu nzuri kuliko mwaka jana, wakati Waziri Mkuu Anthony Albanese ana endelea na ziara…
2 years, 8 months ago
Kupendwa nakuchukiwa kwa rangi na ukatili
Melbourne Cup ni moja ya matukio ya michezo maarufu ya kila mwaka nchini Australia.
2 years, 8 months ago
Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi
Wakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.
2 years, 8 months ago
Taarifa ya Habari 3 Novemba 2023
Waziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomas…
2 years, 8 months ago
Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan
Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
2 years, 8 months ago
Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao
Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
2 years, 8 months ago
Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023
Waziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina muli…
2 years, 8 months ago
Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji
Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.
2 years, 8 months ago
Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"
Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.
2 years, 8 months ago
Taarifa ya Habari 27 Oktoba 2023
Vita vya Israel na Hamas vimezua vita vya maneno kati ya chama cha Greens na serikali ya Labor pamoja na chama cha upinzani.
2 years, 8 months ago