Podcast Episodes

Back to Search
Unahudhuria au ni mwenyeji wa sherehe yaki Australia? Haya ndiyo unahitaji jua

Hakuna uhaba wa matukio yaku sherehekewa nchini Australia.

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Tim "tuna endelea kutumia mbinu tofauti kuwafunza watoto wetu tamaduni zetu"

Wanajumuia wa Mulembe wanao ishi mjini Melbourne, wali wakilishwa kwa fahari nakupokewa vyema katika tamasha ya African Music Festival 2023 mjini Mel…

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 24 Novemba 2023

Waziri Mkuu amesisitiza kuwa serikali yake inafanya iwezavyo kupunguza mfumuko wa bei, na kiongozi wa benki kuu ana amini inaendelea kutokea ndani.

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Somalia yatengeza historia katika fainali ya kombe la Afrika Kusini Australia

Timu ya Somalia, imekuwa ikishiriki katika michuano ya kombe la Afrika la Kusini Australia bila mafanikio makubwa.

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Yemba Fashion "nimezaliwa namapenzi yakuvaa vizuri, na tofauti na wengine"

Wanaume wengi kutoka DR Congo wanajulikana kwa mavazi yao yanayo vutia.

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 21 Novemba 2023

Takwimu mpya zina dokeza kuwa vijana nchini Australia wana punguza matumizi yao zaidi kuliko vikundi vingine, na wanapunguza pia matumizi kwa vitu mu…

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Melbourne yapata kionjo cha Mwomboko

Wakaaji wa mji wa Melbourne wanatazamia kushuhudia maonesho yakitamaduni ya miziki kutoka bara la Afrika kuanzia Ijumaa 17 Novemba hadi Jumapili 20 N…

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 17 Novemba 2023

Waziri Mkuu Athony Albanese ashiriki katika mkutano wa APEC ambako mabadiliko ya hali ya hewa na nishati mbadala ni miongoni mwa mada za majadiliano.

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 14 Novemba 2023

Serikali ya shirikisho imesema inapanga kufanya mfumo wa ustawi wa Australia kuwa waki "utu" zaidi, baada ya ripoti mhimu ya tume yakifalme kwa mfumo…

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode
Sera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi

Shirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushu…

2 years, 7 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us