Podcast Episodes
Back to SearchMageuzi makubwa ya uhamiaji wa Australia yawalenga wanafunzi wakimataifa
Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu…
2 years, 6 months ago
Taarifa ya Habari 12 Disemba 2023
Serikali ya Labor ina tetea mkakati wayo mpya wa uhamiaji, ikisema uta hakikisha raia wa Australia wanapewa kipaumbele kupata kazi.
2 years, 6 months ago
Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia
Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya bar…
2 years, 6 months ago
Taarifa ya Habari 11 Disemba 2023
Waziri wa mambo ya ndani Clare O'Neil amesema, kupunguzwa kwa mapokezi ya wahamiaji kuta unda sehemu ya mkakati mpya wa uhamiaji wa serikali.
2 years, 6 months ago
Gilbert afunguka kuhusu mchezo wa handball
Watu wenye asili ya Afrika, wana julikana kwa umahiri wao waku cheza, soka, mchezo wavikapu, ndondi na riadha.
2 years, 7 months ago
Taarifa ya Habari 8 Disemba 2023
Majimbo kadhaa yame wekwa katika tahadhari ya juu ya moto wa vichaka, mazingira ya joto kali yakitabiriwa wikendi hii.
2 years, 7 months ago
Taarifa ya Habari 7 Disemba 2023
Naibu kiongozi wa chama cha Liberal Sussan Ley ameomba serikali ya Albanese, iwaombe wa Australia msamaha wakati serikali ya Labor inazingatia kuwaka…
2 years, 7 months ago
Makubaliano ya Uingereza na Rwanda kuhusu waomba hifadhi mashakani
Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amewataka wabunge wa chama chake cha Conservative siku ya Alhamisi kuunga mkono mpango wake wa kuwapeleka Rwanda…
2 years, 7 months ago
George afunguka kwa nini alikimbia kutoka Adelaide hadi Melbourne
George Chijarira ni mwanachama wa jumuiya ya watanzania wanao ishi Melbourne, Victoria.
2 years, 7 months ago
Taarifa ya Habari 5 Disemba 2023
Serikali ya shirikisho inatarajiwa kuwasilisha mageuzi ya muswada wiki hii, kwa ajili yaku kabiliana na utata ambao ume ibuka baada ya uamuzi wa maha…
2 years, 7 months ago