Podcast Episodes
Back to SearchKrismasi huwaje nchini Australia
Kama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.
2 years, 6 months ago
Taarifa ya Habari 22 Disemba 2023
Msaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queenslan…
2 years, 6 months ago
Kanda ya Kaskazini Queensland yaanza mchakato wakufanya usafi baada ya kukumbwa kwa mafuriko
Kiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima w…
2 years, 6 months ago
Germain "sita ishi Kinshasa niki shinda uchaguzi, nita ishi na walio nichagua"
Wagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.
2 years, 6 months ago
Taarifa ya Habari 19 Disemba 2023
Mvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado z…
2 years, 6 months ago
Mamba anaswa ndani ya maji ya mafuriko Kaskazini Queensland
Mamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufur…
2 years, 6 months ago
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023
Baadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sa…
2 years, 6 months ago
Davi"tunataka badilisha muonekano kuwa lazima uwe mkonde,mwembamba na mrefu ili uwe mwanamitindo"
Shirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Me…
2 years, 6 months ago
Mbinu tano zaku leta chakula chaki asili kwenye sahani yako ya sherehe
Kuwasilisha chakula cha asili jikoni mwako kunaweza kuwa sawia moja kwa moja kama kubadilisha, viungo vyako vya kawaida kwa mbadala wa asili.
2 years, 6 months ago
Taarifa ya Habari 15 Disemba 2023
Bunge la Marekani lime idhinisha rasmi, mkataba muhimu wa AUKUS na Australia.
2 years, 6 months ago