Podcast Episodes

Back to Search
Yaliyojiri Afrika: Usalama waimarishwa katika mitaa ya Tanzania
Yaliyojiri Afrika: Usalama waimarishwa katika mitaa ya Tanzania

Usalama unaendelea kuimarishwa katika miji mikubwa ya Tanzania, maafisa wa Polisi na Jeshi wenye silaha wakifanya doria.

11 hours ago

Short Long
View Episode
Mbappé aiweka Ufaransa katika nusu fainali
Mbappé aiweka Ufaransa katika nusu fainali

Ufaransa imetinga nusu fainali ya Kombe la Dunia, baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Morocco. Kylian Mbappé amefunga mabao nane sawa na Lionel Messi, w…

12 hours ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Polisi wachunguza kama kifo katika jimbo la Kusini Australia, kina husishwa na kupotea kwa huduma za Telstra Jumatano
Taarifa ya Habari:Polisi wachunguza kama kifo katika jimbo la Kusini Australia, kina husishwa na kupotea kwa huduma za Telstra Jumatano

Polisi wanachunguza kama kifo kinahusishwa na kupotezwa kwa huduma ya Telstra kote nchini Jumatano. Wapelelezi wa Kusini Australia wamethibitisha mtu…

14 hours ago

Short Long
View Episode
Australia Yafafanuliwa: Sensa ya 2026: Unacho stahili jua kuhakikisha una hesabiwa
Australia Yafafanuliwa: Sensa ya 2026: Unacho stahili jua kuhakikisha una hesabiwa

Sensa ya 2026 itafanyika Jumanne tarehe 11 Agosti na kila mtu nchini Australia usiku huu lazima ahesabiwe.

14 hours ago

Short Long
View Episode
Makala Leo: Waziri Mkuu Albanese aendeleza msukumo wake wakidiplomasia katika Pasifiki
Makala Leo: Waziri Mkuu Albanese aendeleza msukumo wake wakidiplomasia katika Pasifiki

Waziri Mkuu Anthony Albanese ameweka ratiba kabambe ya mkataba mpya kamili na Visiwa vya Solomon, akisema angependa kuuona ukikamilika mwishoni mwa m…

14 hours ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Unyanyasaji wa kingono unaendelea kutumiwa kama silaha ya kivita DRC
Taarifa ya Habari:Unyanyasaji wa kingono unaendelea kutumiwa kama silaha ya kivita DRC

Mamlaka katika jimbo la Kusini Australia, zimethibitisha kisa cha pili cha homa ya ndege aina ya H5 katika jimbo hilo.

1 day, 16 hours ago

Short Long
View Episode
Chiry"wasichana wenzangu njooni tuboreshe afya zetu kupitia mpira"
Chiry"wasichana wenzangu njooni tuboreshe afya zetu kupitia mpira"

Jamii ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walishuhudia historia ikiandikwa jioni ya Jumapili 28 Juni 2026 timu mpya ya mpira wa miguu ya kina dad…

2 days, 20 hours ago

Short Long
View Episode
Uhispania na Ubelgiji za tinga robo fainali wakati Ronaldo aaga Kombe la Dunia
Uhispania na Ubelgiji za tinga robo fainali wakati Ronaldo aaga Kombe la Dunia

Uhispania na Ubelgiji zimefuzu kwa robo fainali, wakati ndoto za Kombe la Dunia za wenyeji Marekani na Ureno ya Cristiano Ronaldo ziki gonga miamba.

3 days, 12 hours ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Ofisi ya Takwimu ya Australia yazindua kampeni ya tamaduni mbalimbali kabla ya Sensa ya mwezi ujao
Taarifa ya Habari:Ofisi ya Takwimu ya Australia yazindua kampeni ya tamaduni mbalimbali kabla ya Sensa ya mwezi ujao

Ofisi ya Takwimu ya Australia imezindua kampeni ya tamaduni mbalimbali kabla ya Sensa ya mwezi ujao, ikijumuisha matangazo katika lugha 28 tofauti.

3 days, 14 hours ago

Short Long
View Episode
Makala Leo: Wiki ya NAIDOC ni nini, na nini kimejificha nyuma ya kauli mbiu ya mwaka huu?
Makala Leo: Wiki ya NAIDOC ni nini, na nini kimejificha nyuma ya kauli mbiu ya mwaka huu?

Maadhimisho ya Wiki ya NAIDOC ya Kitaifa yanafanyika kote nchini Australia wiki hii, kwa ajili ya kusherehekea na kutambua historia, utamaduni na maf…

3 days, 15 hours ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us