Episode Details
Back to Episodes
Chiry"wasichana wenzangu njooni tuboreshe afya zetu kupitia mpira"
Published 2 days, 19 hours ago
Description
Jamii ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walishuhudia historia ikiandikwa jioni ya Jumapili 28 Juni 2026 timu mpya ya mpira wa miguu ya kina dada ilipo cheza mechi yao ya kwanza katika uwanja wa Rydalmere.