Episode Details
Back to Episodes
Makala Leo: Waziri Mkuu Albanese aendeleza msukumo wake wakidiplomasia katika Pasifiki
Published 13 hours ago
Description
Waziri Mkuu Anthony Albanese ameweka ratiba kabambe ya mkataba mpya kamili na Visiwa vya Solomon, akisema angependa kuuona ukikamilika mwishoni mwa mwaka huu.