Episode Details
Back to EpisodesMageuzi makubwa ya uhamiaji wa Australia yawalenga wanafunzi wakimataifa
Published 2 years, 6 months ago
Description
Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba.