Episode Details
Back to EpisodesSera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi
Published 2 years, 7 months ago
Description
Shirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushuru nchini humo.