Episode Details
Back to EpisodesMercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"
Published 2 years, 8 months ago
Description
Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.