Episode Details
Back to EpisodesOngezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji
Published 2 years, 8 months ago
Description
Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.