Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 3 Novemba 2023
Published 2 years, 8 months ago
Description
Waziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomasia ya kiongozi wa Australia katika taifa hilo la Asia tangu 2016.