Episode Details
Back to EpisodesMarekani yaweka vikwazo dhidi ya wanajeshi na wanamgambo wa DRC na Rwanda
Published 2 years, 10 months ago
Description
Wanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.