Episode Details
Back to EpisodesJinsi yaku saidia wanyamapori walio jeruhiwa nchini Australia
Published 2 years, 10 months ago
Description
Australia ni nyumbani kwa baadhi ya wanyamapori wa aina mbalimbali na wanaovutia duniani, matokeo ya kutengwa kwa Australia kama bara na historia yakipekee ya mageuzi ambayo yametokea kwa ma milioni ya miaka.