Episode Details
Back to EpisodesWimbo maarufu wa John Farnham watumiwa katika kampeni ya kura ya Ndio
Published 3 years, 1 month ago
Description
Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ndani ya katiba inafeli.