Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 5 Septemba 2023
Published 2 years, 10 months ago
Description
Serikali imesema haita piga hatua nyuma kwa pendekezo la sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, licha ya matokeo mapya ya kura ya maoni ambayo yanaonesha hali si nzuri kwa kura ya maoni ijayo.