Podcast Episodes

Back to Search
Yaliyojiri Afrika: Seriklai ya DRC kufungua vituo vitatu vya matibabu ya virusi vya Ebola
Yaliyojiri Afrika: Seriklai ya DRC kufungua vituo vitatu vya matibabu ya virusi vya Ebola

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema Jumatatu itafungua vituo vitatu vya matibabu, kwa ajili ya watu walioambukizwa virusi vya Ebola …

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Labor yatetea mabadiliko ya kodi ya nyumba katika bajeti licha ya ukosoaji katika kura za maoni
Labor yatetea mabadiliko ya kodi ya nyumba katika bajeti licha ya ukosoaji katika kura za maoni

Mjadala unaendelea kuhusu mustakabali wa mfumo wa kodi wa Australia, baada yakutolewa kwa bajejeti ya Shirikisho wiki iliyopita.

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda afariki
Taarifa ya Habari:Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda afariki

Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC iliyoko mjini The Hague, Uholanzi imesema mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda Fe…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Pendekezo la bajeti la upinzani lashtumiwa kuwa na madeni, upungufu wa kifedha, na utengano
Taarifa ya Habari:Pendekezo la bajeti la upinzani lashtumiwa kuwa na madeni, upungufu wa kifedha, na utengano

Waziri wa Fedha Jim Chalmers ame ongeza mashambulizi ya chama cha Labor dhidi ya hotuba ya majibu ya bajeti ya Angus Taylor, akimshtumu kiongozi huyo…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Australia Yafafanuliwa: Vidokezo vya kupunguza gharama ya petroli |Mafuta Yalengwa
Australia Yafafanuliwa: Vidokezo vya kupunguza gharama ya petroli |Mafuta Yalengwa

Bei za petroli na dizeli nchini Australia zinaendelea kukabiliwa na shinikizo wakati huu ambapo vita kati ya Marekani na Iran vina ingia mwezi wa tat…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Makala leo: Maamuzi magumu kuhusu kupunguzwa kwa NDIS yatawala baada ya kutolewa kwa bajeti ya shirikisho
Makala leo: Maamuzi magumu kuhusu kupunguzwa kwa NDIS yatawala baada ya kutolewa kwa bajeti ya shirikisho

Upunguzaji wa fedha katika Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu ndio chanzo kikubwa zaidi cha uokoaji wa fedha katika bajeti ya serikali shirikisho, …

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Ghana kuwaondoa raia wake 300 wanaoishi Afrika Kusini
Taarifa ya Habari: Ghana kuwaondoa raia wake 300 wanaoishi Afrika Kusini

Serikali ya Ghana imetangaza kuwa itawarudisha raia wake 300-wanaoishi nchini Afrika Kusini, kufuatia ongezeko la visa vya wageni kushambuliwa.

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika: Dangote kufungua kiwanda chakusafisha mafuta Kenya
Yaliyojiri Afrika: Dangote kufungua kiwanda chakusafisha mafuta Kenya

Mmoja wa matajiri wakubwa barani Afrika Aliko Dangote, ameonesha nia yakuanzisha kiwanda chaku safisha mafuta nchini Kenya.

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Makala leo:Takwimu mpya zafichua malipo duni ya kimfumo kwa wafanyakazi wahamiaji
Makala leo:Takwimu mpya zafichua malipo duni ya kimfumo kwa wafanyakazi wahamiaji

Utafiti mkubwa zaidi nchini Australia kuhusu mazingira ya kazi ya wahamiaji umefichua maelezo ya kutisha ya malipo duni yaliyoenea na ya kimfumo.

1 month, 4 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari:Mweka Hazina asema bajeti ijayo ina malengo, akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida
Taarifa ya Habari:Mweka Hazina asema bajeti ijayo ina malengo, akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida

Mweka Hazina wa taifa, Jim Chalmers, ameelezea bajeti inayokuja kama ile yenye malengo makubwa zaidi ya serikali ya Labor kufikia sasa, ikiwa na kile…

1 month, 4 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us