Episode Details
Back to Episodes
Taarifa ya Habari:Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda afariki
Published 1 month, 3 weeks ago
Description
Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC iliyoko mjini The Hague, Uholanzi imesema mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda Felicien Kabuga amefariki dunia.