Episode Details
Back to Episodes
Birori "Tunataka mauaji dhidi ya Wanyamulenge DR Congo yaishe mara moja "
Published 1 month, 1 week ago
Description
Wanachama wa jumuiya ya Wanyamulenge wanao ishi Australia, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuelezea kero zao.