Episode Details
Back to Episodes
Yaliyojiri Afrika: Wanafunzi 16 waangamia kwenye mkasa wa moto shuleni Kenya
Published 1 month, 1 week ago
Description
Wanafunzi 16 wamekufa katika mkasa wa moto, uliotokea katika mabweni ya shule moja ya wasichana katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya.