Episode Details
Back to Episodes
Christine "baadhi ya wanawake wame acha kazi kwa sababu yakushindwa kuamuka"
Published 1 month, 1 week ago
Description
Baadhi ya wanawake wenye miaka 40 na zaidi, hujipata wana koma kupata hedhi. Hali hii huja na changamoto mbali mbali kwa wahusika.