Podcast Episodes
Back to SearchRais Tshisekedi awarai vijana wajiunge na jeshi kupambana na M23
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, amewarai vijana kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa kusaidia kupambana na waasi wa M23 wan…
1 year, 5 months ago
Jaguar "Tunaomba nchi jirani zisaidie kutafuta amani na usalama DRC"
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo.
1 year, 5 months ago
Taarifa ya Habari 28 Januari 2025
Mweka hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ana amini kuwa takwimu za mfumuko wa bei zitakazo tolewa kesho jumatano, zinaweza wapa wa Australia afueni ya…
1 year, 5 months ago
Shinikizo ya gharama yamaisha yafanya wanafunzi wasajiliwe katika shule za umma
Mwaka wa shule wa 2025 ume anza hii leo Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili w…
1 year, 5 months ago
Tundu Lissu ashinda uchaguzi wa uongozi wa CHADEMA
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetua kiongozi wake mpya kuelekea uchaguzi Mkuu wa urais wa mwezi Oktoba.
1 year, 5 months ago
Taarifa ya Habari 24 Januari 2025
Mweka hazina Jim Chalmers amesema makato ya ushuru ya serikali yame leta utofauti kwa walipa ushuru, wakati matokeo ya kura ya maoni yanaonesha ongez…
1 year, 5 months ago
What does January 26 mean to Indigenous Australians? - Januari 26 ina maana gani kwa wa Australia wa Asili?
In Australia, January 26 is the national day, but the date is contentious. Many migrants who are new to Australia want to celebrate their new home, b…
1 year, 5 months ago
Taarifa ya Habari 21 Januari 2025
Waziri wakigeni Penny Wong amesema Australia ina kesi imara, yakuto jumuishwa katika pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kutoza ushuru.
1 year, 5 months ago
Rwanda yatangaza imepata mafuta katika ziwa Kivu
Rwanda imesema Jumatano kuwa imefanya ugunduzi wa mafuta katika Ziwa Kivu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika nchi isiyo na bahari katika eneo la Maz…
1 year, 5 months ago
Taarifa ya Habari 17 Januari 2025
Kupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya up…
1 year, 5 months ago