Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 28 Januari 2025
Published 1 year, 5 months ago
Description
Mweka hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ana amini kuwa takwimu za mfumuko wa bei zitakazo tolewa kesho jumatano, zinaweza wapa wa Australia afueni ya gharama ya maisha wanayo hitaji sana.