Podcast Episodes

Back to Search
Ongezeko ya karo ya shule yafanya familia zi hisi shinikizo

Kuna salia wiki chache kwa mwaka wa shule wa 2025 kuanza, janga la gharama ya maisha lina endelea kuweka shinikizo kwa familia zinazo lipa karo ya sh…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Bensoul "kuwa mwandishi wa nyimbo iliyo shinda grammy imenifungulia milango mingi"

Nyota ya Bensoul katika sanaa ina zidi kung'aa kila kukicha.

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 14 Januari 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mkutano wake wa kwanza wa 2025 na baraza lake la mawaziri.

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21"

Mgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 10 Januari 2025

Uchaguzi mkuu ujao wa shirikisho una chukua mkondo wakuwa shindano la gharama ya maisha ila, hakuna chama kikubwa ambacho kime toa ahadi kubwa za mat…

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Wakenya wafunguka kuhusu visa vya utekaji nyara

Vyombo vya usalama nchini Kenya vina endelea kushtumiwa kwa visa vya utekaji nyara.

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 7 Januari 2025

Wakaaji wa Queensland wame hamasishwa wachukue chanjo zinazo tolewa bure, jimbo hilo likitabiri msimu mubaya wa mafua uko njiani.

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Mwongozo rahisi waku kusaidia kufurahia msimu wa Cricket nchini Australia

Cricket ni mchezo maarufu sana Australia na, kwa muda mrefu mchezo huo umekuwa sehemu ya utamaduni wa Australia haswa wakati wa miezi ya majira ya jo…

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 3 Januari 2025

Kufanya mfumo wa afya upatikane kwa bei nafuu itakuwa sehemu kubwa ya kampeni ya uchaguzi mkuu ya chama cha Labor, waziri wa afya washirikisho aki ah…

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Je uchaguzi wa uongozi uta sababisha mpasuko ndani ya CHADEMA

Wanachama wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wanasalia na takriban wiki mbili kuingia debeni kumchagua kiongozi mpya.

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us