Episode Details
Back to EpisodesMwongozo rahisi waku kusaidia kufurahia msimu wa Cricket nchini Australia
Published 1 year, 6 months ago
Description
Cricket ni mchezo maarufu sana Australia na, kwa muda mrefu mchezo huo umekuwa sehemu ya utamaduni wa Australia haswa wakati wa miezi ya majira ya joto.