Episode Details
Back to EpisodesLissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21"
Published 1 year, 6 months ago
Description
Mgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.