Podcast Episodes

Back to Search
Bw Chumba "tukishikana mikono itatupa urahisi kufanya vitu vikubwa pamoja"

Viongozi wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi New South Wales wanajiandaa kuwasilisha vyeti vya usajili wa Jumuiya kwa wanachama wao jioni ya Ijumaa 2…

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 20 Disemba 2024

Eneo la kusini mashariki Queensland, lina jiandaa kukaribisha afueni ya hali ya hewa baada ya dhoruba kusababisha barabara kufungwa, umeme kupotea na…

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Mchungaji Mgogo "tunza ujana wako kwa ajili ya future yako"

Mchungaji Daniel Mgogo ni maarufu sana katika mitandao yakijamii, kwa jinsi anavyo huburi.

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 17 Disemba 2024

Mawaziri wa kigeni na ulinzi wa Uingereza na Australia wamefanya mkutano wao wa kila mwaka ((AUKMIN)) mjini London ambako amekubali kuimarisha zaidi …

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Mahakama yazima ndoto ya Edgar Lungu

Mahakama ya katiba ya Zambia imesikiza ombi la Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu lakupewa ruhusa yakuwania urais wa taifa hilo.

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 13 Disemba 2024

Serikali ya Albanese imetangaza mfumo mpya waku lazimisha mitandao yakidigitali yakufidia vyombo vya utangazaji vya Australia kwa matumizi ya habari …

1 year, 6 months ago

Short Long
View Episode
Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi

Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na h…

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 10 Disemba 2024

Waziri wa Huduma za Serikali Bill Shorten ametangaza kuwa shirika la Services Australia, lime tekeleza karibu nusu ya mapendekezo yote kutoka Tume ya…

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Kiongozi wa Queensland atetea mabadiliko ya haki ya vijana yenye misimamo mikali

Kiongozi wa Queensland na Mwanasheria Mkuu wame tetea mageuzi ya haki ya vijana yenye utata ya jimbo hilo, licha ya ukosoaji kutoka wadau na Umoja wa…

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024

Kura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us