Podcast Episodes
Back to SearchElewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia
Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.
1 year, 7 months ago
Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024
Australia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.
1 year, 7 months ago
Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa
Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moj…
1 year, 7 months ago
Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRC
Bunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.
1 year, 7 months ago
Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi y…
1 year, 7 months ago
Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa"
Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.
1 year, 7 months ago
Taarifa ya Habari 8 Novemba 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.
1 year, 8 months ago
Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao
Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika hist…
1 year, 8 months ago
Taarifa ya Habari 5 Novemba 2024
Wanaharakati wa Mataifa ya Kwanza wana muhamasisha Kiongozi wa Queensland David Crisafulli, abatilishe uamuzi wake wakufuta uchunguzi wakusema ukweli…
1 year, 8 months ago
Matt "tunataka mifumo ya kupata huduma irahisishwe"
Viongozi wa makundi mbalimbali yawa Kenya wanao ishi mjini Sydney, Australia wanajiandaa kukutana nawa bunge nama seneta kutoka Kenya.
1 year, 8 months ago