Episode Details
Back to EpisodesJinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa
Published 1 year, 7 months ago
Description
Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.