Episode Details
Back to EpisodesHarris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao
Published 1 year, 8 months ago
Description
Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.