Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 22 Oktoba 2024
Mfalme Charles na Malkia Camilla waanza sehemu ya mwisho, ya ziara yao mjini Sydney, katika sehemu ya ziara yakifalme.
1 year, 8 months ago
Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"
Wanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.
1 year, 8 months ago
Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2024
Serikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fad…
1 year, 8 months ago
Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza"
Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiing…
1 year, 8 months ago
Taarifa ya Habari 15 Oktoba 2024
Mawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.
1 year, 8 months ago
Mercy"Tunatazamia kupokea huduma bora kutoka kwa balozi wetu"
Viongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongam…
1 year, 8 months ago
Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2024
Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja r…
1 year, 9 months ago
Prof Chacha "mtu ambaye amekuwa katika hali ya uchochore hawezi mkashifu anaye msaidia"
Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.
1 year, 9 months ago
Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024
Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.
1 year, 9 months ago
Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"
Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.
1 year, 9 months ago