Episode Details
Back to EpisodesMhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza"
Published 1 year, 8 months ago
Description
Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla yaku endeleza masomo yao.