Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya habari 4 Novemba 2024

Chama cha Greens kina omba serikali ya shirikisho ilete mipango yake mbele yaku kata deni la wanafunzi kwa asilimia 20 kwa idadi yawa Australia milio…

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Bw Prosper "uzoefu wetu wa ukimbizi hauja ondoa utu wetu"

Australia ni nyumbani kwa ma milioni ya watu kutoka mazingira mbali mbali, walio wahi kuwa wakimbizi wakijumuishwa.

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 1 Novemba 2024

Serikali imethibitisha kuwa inashikilia mafao ya Medicare ambayo hayaja daiwa yenye thamani yama milioni ya dola, kwa sababu wagonjwa hawajatoa taari…

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Jinsi yakujenga nyumba yako nchini Australia

Kujenga nyumba Australia ni ndoto ya wengi ila, hatua muhimu zakufanikisha hili ni gani?

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 29 Oktoba 2024

Faini kwa watoa huduma wa NDIS wasio waaaminifu zita ongezeka kutoka $400,000 hadi zaidi ya $15 milioni, chini ya kanuni mpya zilizo zinduliwa na Bil…

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Ben & Chance "tangu tuanze kufanya kazi ya Mungu pamoja maisha yamezidi kuwa mazuri"

Umaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Prof Chacha"nchi za Afrika zinastahili tambua jumuiya yaki mataifa hai ongelei tena maswala yao"

Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kukabiliana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2024

Viongozi wa kanda ya Pasifiki wame ikosoa Australia katika mkutano wa viongozi wa jumuiya zama dola nchini Samoa, kwa kufeli kuchukua hatua ya ziada …

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Michael" viongozi wetu wanaweza fanya kazi kwa kasi wakitaka"

Siasa ya Kenya imetikiswa kwa kura ya kihistoria ndani ya Seneti iliyo sababisha Naibu Rais Rigathi Gachagua kubanduliwa mamlakani.

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode
Athari za Utalii wa Mataifa ya Kwanza

Je, unatafuta uzoefu wakusafiri nchini Australia wenye maana?

1 year, 8 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us