Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya habari 4 Novemba 2024
Published 1 year, 8 months ago
Description
Chama cha Greens kina omba serikali ya shirikisho ilete mipango yake mbele yaku kata deni la wanafunzi kwa asilimia 20 kwa idadi yawa Australia milioni tatu, hatua ambayo itafuta zaidi ya deni ya wanafunzi yenye thamani ya dola bilioni 16.